Wabissa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wabissa (au Wabisa (umoja), Wabisan, Wabissanno (wingi)) ni kabila la kundi la Wamandé kutoka katikati-mashariki mwa Burkina Faso, kaskazini-mashariki mwa Ghana na ncha ya kaskazini kabisa ya Togo.
Lugha yao, Kibisa ni jamii ya lugha za Kimande ambayo inahusiana, lakini sio sawa ,na kundi la lugha katika eneo la Ufalme wa zamani wa Borgu kaskazini-mashariki mwa Benin na kaskazini-magharibi mwa Nigeria, ikijumuisha Kibusa, Kiboko, na Kikyenga.
Jina jingine mbadala kwa Wabissa ni Wabusansi au Wabusanga, ambalo linatumika na watu wa kabila la Wamosi.
Remove ads
Baadhi ya makabila na majina maarufu ya watu wa kabila la Bissa
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads