Wabungu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wabungu ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Songwe.

Lugha yao ni Kibungu.

Wengi wao wanapatikana katika mwambao wa Ziwa Rukwa, na shughuli zao kubwa za kiuchumi ni uvuvi.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads