Wadamun

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wadamun ni jina la mtu wa Misri anayesemekana kuwa alimuamini mtoto Yesu alipoletwa na Yosefu na Bikira Maria kama mkimbizi. Baada ya kumtangaza kwa wengine, hao walimuua kwa upanga.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kikopti kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 24 Agosti.


Tazama pia

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads