Wannabe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wannabe
Remove ads

"Wannabe" ni wimbo wa kundi la muziki wa pop la Kiingereza la Spice Girls. Ulitolewa ukiwa kama single ya kwanza, na unafikirika kama ndiyo wimbo ambao ndiyo alama yao.[1] Wimbo huu umetungwa na Spice Girls wenyewe, Richard Stannard na Matt Rowe kwa ajili ya albamu yao ya kwanza ya Spice.

Ukweli wa haraka B-side, Imetolewa ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads