Wellu Sengo

Mwigizaji wa filamu From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wellu Sengo ni mwigizaji wa filamu za Tanzania (bongo movies). Alianza kupata kazi mbalimbali na wasanii wazoefu katika filamu nchini mwake.[1].

Ukweli wa haraka Nchi, Kazi yake ...

Aliolewa na Camelot akaachika mwaka 2021, hawana mtoto.

Alikwishafanya kazi na kampuni kubwa zinazohusika na utengenezaji wa filamu kama Game 1st Quality pamoja na RJ company[2].

Remove ads

Filamu alizowahi kuigiza

Sengo alifanikiwa kuigiza filamu mbalimbali kama vile, I know you aliyeigiza kama Matilda. Pia ameigiza katika filamu za Bado natafuta, Vagabond, Twisted ,Matilda na tamthilia ya mwanamuziki.

Tuzo zake

Msanii huyo amefanikiwa kuwa mshindi wa pili katika shindano la vaa, imba cheza kama Rihanna.[3]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads