Wendo Kolosoy
Mwimbaji wa Kongo, mwanamuziki na bondia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Antoine Wendo Kolosoy (alifahamika zaidi kwa jina la Papa Wendo; 25 Aprili 1925 - 28 Julai 2008) alikuwa mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Huhesabiwa kama "Baba" wa Muziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - maarufu kama rumba, mtindo wa muziki unaopatana kabisa na rumba, beguine, waltz, tango na cha-cha.
Remove ads
Diskografia
- Nani akolela Wendo? (1993)
- Marie Louise (1997) -- Indigo LBLC 2561 (2001)
- Amba (1999) -- Marimbi 46801.2 (2002) -- World Village 468012 (2003)
- On The Rumba River (Soundtrack) Marabi/Harmonia Mundi 46822.2 (2007)
- Banaya Papa Wendo IglooMondo (2007)
Kompilesheni
- Ngoma: The Early Years, 1948-1960 Popular African Music (1996). Includes the original recording of "Marie-Louise", 1948 (Antoine Kolosoy "Wendo" / Henri Bowane)
- The Very Best of Congolese Rumba - The Kinshasa-Abjijan Sessions (2007) Marabi Productions
- The Rough Guide to Congo Gold -- World Music Network 1200 (2008)
- Beginners Guide To Africa -- Nascente BX13 (2006)
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads