Wikamusi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wikamusi
Remove ads

Wikamusi (kutoka maneno ya Kiingereza "Wiki" na "dictionary", kamusi) ni mradi huria wa kuunda maudhui ya kamusi mtandaoni. Ina zaidi ya lugha 170. Imeandikwa kwa kushirikiana na wafanyakazi wa kujitolea, kuitwa "Wiktionarians", kwa kutumia programu ya wiki. Toleo la Kiswahili linapatikana hapa.

Ukweli wa haraka URL, Kaulimbiu ...

Ni mradi ndugu na Wikipedia, kamusi elezo huru inayoendeshwa na shirika la Wikimedia Foundation.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads