Iringa Vijijini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Iringa Vijijini
Remove ads

Wilaya ya Iringa ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Iringa.

Thumb
Mahali pa Iringa Vijijini (kijani) katika mkoa wa Iringa kabla haujamegwa.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,032 [1] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 315,354 [2].

Wakazi wa wilaya ya Iringa ni hasa Wahehe, ingawa Wabena, Wakinga, Wawanji walihamia kutoka Njombe kuja kufanya kazi katika mashamba ya tumbaku ya Wagiriki.

Kati ya wazawa wa wilaya hiyo maarufu zaidi ni chifu Mkwawa aliyepinga ukoloni wa Wajerumani miaka ya 1880.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads