Wilaya ya Kusini, Unguja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Kusini ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini yenye postikodi namba 72100.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 63,156 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 39,242 ambapo 19,342 ni wanaume na 19,900 ni wanawake. [2].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads