Wilaya ya Msalala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wilaya ya Msalala ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Shinyanga.

Ilianzishwa tarehe 23 Novemba 2012 kwa kugawa Wilaya ya Kahama.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 378,214 [1].

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads