Wilaya ya Tamanghasset
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tamanghasset ni wilaya kubwa kuliko zote za Aljeria, ikienea kwa karibu robo ya nchi yote.


Jina linatokana na lile la makao makuu, Tamanghasset au Tamanrasset.
Ndani yake mna Hifadhi za Taifa mbili.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tamanghasset kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads