Wilaya ya Wete
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Wete ni wilaya iliyopo katika Mkoa wa Pemba Kaskazini yenye postikodi namba 75100.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 148,712 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa ni 107,916. [2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads