William Devane
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
William Devane (amezaliwa tar. 5 Septemba 1937) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama James Heller kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24
Remove ads
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Devane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads