William Pascal Kikoti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

William Pascal Kikoti (3 Machi 1957 - 28 Agosti 2012) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka 2001. Tangu mwaka huo hadi kifo chake alikuwa askofu wa Jimbo la Mpanda.

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads