Windows 10

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Windows 10 ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta unaotengenezwa na uliotolewa na kampuni ya Microsoft kama sehemu ya mifumo ya uendeshaji wa Windows NT. Mfumo huu uizinduliwa 29 Julai 2015.[1] [2]

Tofauti na matoleo yaliyotangulia ya Windows, Microsoft imeunda Windows 10 kama "huduma". Vifaa katika mazingira ya biashara zinaweza kupokea kwa kasi ndogo, au kutumia hatua za msaada wa muda mrefu ambazo hupokea tu updates muhimu, kama vile usalama.

Remove ads

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads