Xenofoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Xenofoni (pia Xenophon; mnamo 430 KK – 354 KK) alikuwa mwanahistoria, askari na mwanafalsafa wa Ugiriki ya Kale aliyeishi wakati mmoja na Sokrates. Anajulikana kwa maandishi yake juu ya historia ya nyakati zake mwenyewe yaani karne ya 4 KK. Alihifadhi pia maneno ya Sokrates[1], na maelezo ya maisha katika Ugiriki ya Kale na Milki ya Uajemi.

Alikuwa kiongozi wa jeshi la Wagiriki walioajiriwa na mdogo wa mfalme wa Uajemi aliyejaribu kumpindua kaka yake; Xenofoni aliwaongoza Wagiriki hadi Babeli na baada ya kifo cha mwajiri wao aliwaongoza pia kwenye safari ya kurudi.[2]
Maandiko yake mashuhuri ni pamoja na
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads