Yangon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yangon (pia:Rangun) ni mji mkubwa wa Myanmar. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 2005.

Kuna wakazi zaidi ya milioni 4. Mji uko kando la mto Hlaing karibu na bahari.
Picha za Rangun
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yangon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads