Yohane Duns Scotus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yohane Duns Scotus, O.F.M. (1266 hivi – 8 Novemba 1308) anahesabiwa kati ya wanafalsafa na wanateolojia bora wa Karne za Kati.[1]

Mafundisho ya padri huyo, mfuasi wa Fransisko wa Asizi, yaliathiri sana Kanisa Katoliki na jamii kwa jumla.
Kutokana na hoja zake kali aliitwa Doctor Subtilis (Mwalimu mchanganuzi)
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 20 Machi 1993.
Remove ads
Tanbihi
Maandishi yake
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads