Yoshinori Ohsumi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yoshinori Ohsumi (amezaliwa 9 Februari, 1945) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Anajulikana hasa kwa utafiti wake katika mchakato wa autofagia ambako mwili unavunja seli zisizotakiwa au zisizohitajika tena na kutumia molekuli zake kwa kujenga seli mpya.


Mwaka wa 2016 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba[1].
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads