Zahanati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zahanati (kutoka neno la Kiarabu; pia dispensari kutoka neno la Kiingereza dispensary lenye asili ya Kilatini dispensaria yaani mahali pa ugawaji wa dawa[1]) ni mahali ambapo huduma za tiba hutolewa kwa magonjwa yasiyo makubwa, lakini pia chanjo, uzazi wa mpango n.k. Vile vile huduma nyingine zitolewazo kwenye Zahanati ni pamoja na Huduma ya kwanza.

Kwa upande wa mazingira zahanati inaweza kupatikana shuleni, viwandani na hata kwenye taasisi mbalimbali zenye uhitaji wa huduma hiyo pindi tu ihitajikapo.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads