Zilipendwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zilipendwa ni neno linalotumika kutaja vitu vilivyopitwa na wakati, lakini vilikuwa na wapenzi wengi sana kiasi kwamba hata ukisikia au kuviona tena leo utakumbuka wakati wako. Istilahi hii imetumika sana katika nyimbo na filamu. Kumekuwa hadi na vipindi vya TV na Redio katika Afrika ya Mashariki vinavyozungumzia Zilipendwa. Karibia katika kila redio nchini Tanzania kuna kipindi maalumu cha Zilipendwa.
Remove ads
Maana nyingine
- Zilipendwa - wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Tonya Mbili. Wimbo ulitoka tarehe 5 Novemba, 2012.
- Zilipendwa - wimbo wa kundi zima la muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Wasafi Classic Baby au WCB. Wimbo ulitoka tarehe 25 Agosti, 2017.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads