Zilipendwa (Matonya)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Zilipendwa (Matonya)
Remove ads

"Zilipendwa" ni jina la wimbo uliotoka 2012 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Matonya. Wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever katika studio ya Burn Records. Wimbo ulitolewa tarehe 5 Novemba, 2012. Mwaka huu wa 2012, 2013 na 2014 ulikuwa mwaka wa mtayarishaji Sheddy Clever. Miaka hiyo nyimbo nyingi nzuri zilitayarishwa na yeye. Kama ilivyo kwa 2016 na 2017 ngoma kali nyingi zimetayarishwa na Mr. T Touch. Wimbo huu ulileta sekeseke na WCB baada ya Matonya kudaid wametumia wimbo wake bila idhini.[1]

Ukweli wa haraka Single ya Matonya, Imetolewa ...
Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads