Ziwa Rweru
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ziwa Rweru ni ziwa linalopatikana nchini Burundi (mkoa wa Kirundo) na Rwanda.
Maji huingia katika mto Kagera na hatimaye kuelekea Mto Naili na Bahari ya Kati.
Tazama pia
- Orodha ya maziwa ya Burundi
- Orodha ya maziwa ya Rwanda
- Maziwa ya Afrika
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads