Nacho José Ignacio Fernández, ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza klabu ya Real Madrid na timu yake ya taifa ya Hispania hasa kama kiungo wa kati lakini pia kama beki wa kulia na wa kushoto.
Nacho Monreal Eraso ni mchezaji wa kitaalamu wa Hispania ambaye anacheza kama mchezaji wa kushoto na mlinzi wa kati wa klabu iliyopo nchini Uingereza iitwayo Arsenal FC na timu ya taifa ya Hispania.