Nachunyu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Nachunyu ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, kusini mwa Tanzania, yenye msimbo wa posta 65201.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,753 [1].Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,713 walioishi humo[2].

Nachunyu inajumuisha vijiji viwili: kijiji cha Mmumbu na kijiji cha Nachunyu. Kata ya Nachunyu ni maarufu kwa mazao ya biashara kama vile korosho lakini pia ufuta.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads