From Wikipedia, the free encyclopedia
Kim Renard Nazel (amezaliwa Juni 17, 1965), [1] anajulikana zaidi kwa majina yake ya kisanii Arabian Prince au Profesa X, ni rapa, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, na DJ [2] [3][4][5][6]kutoka nchini Marekani. Anajulikana zaidi kuwa mwanachama mwanzilishi wa N.W.A.
Mbali na taaluma yake ya muziki, alifanya kazi katika special effects, uhuishaji wa 3D na michezo ya video.[7][8][9]
Arabian Prince | |
---|---|
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Kim Renard Nazel |
Amezaliwa | 17 Juni 1965 |
Kazi yake | Rapa Mwimbaji, Mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, DJ |
Ala | Vocals, synthesizer, keyboards, turntables, drum machine, sampler |
Miaka ya kazi | 1984– hadi sasa |
Studio | Orpheus Records Da Bozak Records Macola Records Stones Throw Records |
Ameshirikiana na | N.W.A Bobby Jimmy & the Critters Uncle Jamm's Army J. J. Fad Ministry |
{{cite web}}
: External link in |author=
(help)Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.