Disc jockey
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Disc jockey (kifupi "DJ") ni mtu anayeunganisha miziki kadhaa ikicheza, mara nyingi kwenye hadhira walio kwenye klabu au mtandao au kwenye matangazo. DJ huweza pia kutengeneza kandamseto zinazouzwa baadaye. Kwenye Hip hop "ma dj" hutengeneza midundo kwa kutumia piano, gitaa na "beats".
Mifano ya Ma-DJ

- DJ Khaled ni mtayarishaji wa muziki na mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.[1] Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.[2]

- DJ Premier ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.
- DJ LYTMAS ni Disc jockey kutoka Nairobi, Kenya ambaye anaunda Kandamseto na kuziweka kwenye tovuti yake ya www.djlytmas.com[3]
- DJ Pooh ni mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop,[4] mwigizaji wa sauti, mghani, mwandishi muswada andishi,[5] mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani.[6][7]
- DJ Yella ni DJ, mtayarishaji wa muziki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton, California, Marekani.[8]
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads