Aubati wa Avranches
From Wikipedia, the free encyclopedia
Aubati (au Aubert, Autbert; karne ya 7 - 720) alikuwa askofu wa Avranches, Normandy huko Ufaransa[2].
Kwa njia yake heshima kwa malaika mkuu Mikaeli ilistawi sana.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3]
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Septemba[4].