Yohane wa Fiesole, O.P. au Beato Angelico (yaani, kwa Kiitalia: "Mwenye heri wa Kimalaika"[2]; jina la awali: Guido di Pietro; Vicchio, Firenze, 1395 hivi[3] – Roma, 18 Februari1455) alikuwa mtawapadri maarufu kama mmojawapo wa wachoraji wa kwanza wa Renaissance nchini Italia. MtaalamuGiorgio Vasari katika kitabu chake Maisha ya Wasanii aliandika kwamba alikuwa na "kipaji adimu na kamili".[4]
Tarehe 3 Oktoba1982Papa Yohane Paulo II alimtangaza rasmi kuwa mwenye heri,[5] kutokana na utakatifu wa maisha yake, si tu kwa kipaji chake cha kutoka mbinguni.[6]. Vasari huyohuyo aliandika kwamba "haiwezekani kumsifu mno baba huyo mtakatifu, aliyekuwa mnyenyekevu na mtaratibu hivi katika yale yote aliyoyafanya na aliyoyasema, na ambaye picha zake zilichorwa kwa unyofu na ibada kubwa hivi."[4]
Roman Martyrology—the official publication which includes all Saints and Blesseds recognised by the Roman Catholic Church
Rossetti, William Michael. Angelico, Fra. 1911 Encyclopædia Britannica.
Hood, William. Fra Angelico at San Marco. Yale University Press, 1993. ISBN 9780300057348
Morachiello, Paolo. Fra Angelico: The San Marco Frescoes. Thames and Hudson, 1990. ISBN 0-500-23729-8
Frederick Hartt. A History of Italian Renaissance Art, Thames & Hudson, 1970. ISBN 0-500-23136-2
Giorgio Vasari. Lives of the Artists. first published 1568. Penguin Classics, 1965.
Donald Attwater. The Penguin Dictionary of Saints. Penguin Reference Books, 1965.
Luciano Berti. Florence, the city and its Art. Bercocci, 1979.
Werner Cohn. Il Beato Angelico e Battista di Biagio Sanguigni. Revista d’Arte, V, (1955): 207–221.
Stefano Orlandi. Beato Angelico; Monographia Storica della Vita e delle Opere con Un’Appendice di Nuovi Documenti Inediti. Florence: Leo S. Olschki Editore, 1964.
C. Gerbron, Fra Angelico. Liturgie et mémoire (= Études Renaissantes, 18), Turnhout: Brepols Publishers, 2016. ISBN 978-2-503-56769-3;
Didi-Huberman, Georges. Fra Angelico: Dissemblance and Figuration. University of Chicago Press, 1995. ISBN 0-226-14813-0Discussion of how Fra Angelico challenged Renaissance naturalism and developed a technique to portray "unfigurable" theological ideas.
Fra Angelico Exhibition at the Metropolitan Museum of Art, (October 26, 2005 – January 29, 2006).
"Soul Eyes"Archived 3 Desemba 2008 at the Wayback Machine. Review of the Fra Angelico show at the Met, by Arthur C. Danto in The Nation, (January 19, 2006).
Fra Angelico, Catherine Mary Phillimore, (Sampson Low, Marston & Co., 1892)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.