Hukumu ya mwisho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hukumu ya mwisho, Siku ya hukumu au Siku ya Bwana (kwa Kiebrania "Yohm Ha Din"; kwa Kiarabu يوم القيامة, Yawm al-Qiyāmah au يوم الدين, Yawm ad-Din) ni sehemu ya imani ya dini za Uzoroasta, Uyahudi, Ukristo na Uislamu.


Ni siku ambapo Mungu atahukumu kwa pamoja watu wote walioishi duniani.[1]
Fundisho hilo muhimu lilipewa uzito katika sanaa, hasa ya Kikristo, kwa nyimbo na michoro mbalimbali.
Remove ads
External links
- Catholic Encyclopedia "General Judgment"
- Judgment Day Past and Future Ilihifadhiwa 28 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine. – slideshow by Life magazine
- Swedenborg, E. The Last Judgment and Babylon Destroyed. All the Predictions in the Apocalypse are at This Day Fulfilled (Swedenborg Foundation 1951)
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads