Dioniso (Kigiriki: Διόνυσος, Diónysos) ni mungu wa divai na nishai katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Bacchus (pia anaitwa Liber) katika dini ya Roma ya Kale.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Ukweli wa haraka Makao, Alama ...
Dioniso
Sanamu ya Dioniso
Mungu wa Divai, Drama na Nishai
MakaoMlima Olimpos
AlamaThirso, Mzabibu, Ngozi ya chui, Chui, Chui-milia na Chui mweusi
MwenziAriadna
WazaziZeu na Semele
Ulinganifu wa KirumiBacchus, Liber
Funga

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.