Mlima Olimpos

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mlima Olimpos
Remove ads

Mlima Olimpos (kwa Kigiriki: Όλυμπος, Ólympos) ni safu ndogo ya milima yenye vilele 52. Kilele cha juu ni Mytikas kinachofikia mita 2,917.727[1] juu ya UB, kikiwa kirefu kuliko milima yote ya Ugiriki.

Thumb
Mlima Olimpos.

Katika masimulizi ya mitholojia ya Ugiriki ya Kale mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao. Miungu iliyokuwa ikidhaniwa kuishi katika mlima Olimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya dunia (kuzimu) alikuwa akiitwa Hade na mwingine aliishi baharini akiitwa Poseidon.

Remove ads

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads