Eulogi wa Cordoba (800 hivi -Cordoba, Hispania, 11 Machi 859) alikuwa padri aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo na alimficha Leokrisya, binti aliyeacha Uislamu ajiunge na Kanisa[1].

Thumb
Kifodini chake kilivyochorwa katika kanisa kuu la Cordoba.

Kabla ya hapo aliandika taarifa mbalimbali, kama zile za kifodini cha Flora na Maria.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Machi[2].

Tazama pia

Tanbihi

Maandishi

Vyanzo

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.