Mwanasiasa wa Kibrazil From Wikipedia, the free encyclopedia
Flávio Nantes Bolsonaro (alizaliwa 30 Aprili 1981)[1] ni mwanasiasa mwanasheria na mjasiriamali wa Brazil, ambaye ni mzaliwa wa kwanza wa aliyekuwa Rais wa nchi, Jair Bolsonaro. [2]
Kaka zake ni Carlos Bolsonaro mwanachama wa Rio de janeiro City Council tangu 2001, na Eduardo Bolsonaro mwanachama wa Chamber of Deputies tangu 2015. Katika uchaguzi wa mwaka 2016 Flavio Bolsonaro aligombea umeya wa Rio de Janeiro chini ya Social Christian Party (PSC).[3][4]
Mnamo 2018, Bolsonaro alichaguliwa kuwa Seneti ya Shirikisho inayowakilisha jimbo la Rio de Janeiro, akipata kura milioni 4.38 sawa na asilimia 31.36.[5][6]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.