Fuzhou

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fuzhou (kwa Kichina: 福州) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Fujian.

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Fuzhou

Bendera
Nchi China
Jimbo Fujian
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 6,600,000
Tovuti:  www.fuzhou.gov.cn
Funga

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 6.6 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fuzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.