![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/ca/Goodluck_Jonathan.jpg/640px-Goodluck_Jonathan.jpg&w=640&q=50)
Goodluck Jonathan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan (alizaliwa 20 Novemba 1957)[1] alikuwa rais wa Nigeria tangu Januari 2010. Awali hakuchaguliwa lakini alikabidhiwa madaraka akiwa makamu wa rais mgonjwa Umaru Yar'Adua aliyemtangulia na baada ya kifo chake aliapishwa kama rais. Katika uchaguzi wa kitaifa wa Aprili 2011 alirudishwa madarakani.
Ukweli wa haraka Makamu wa Rais, mtangulizi ...
Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan | |
![]() | |
Aliingia ofisini 6 Mei 2010 Rais mtendaji: 9 Februari 2010 – 6 Mei 2010 | |
Makamu wa Rais | Namadi Sambo |
---|---|
mtangulizi | Umaru Yar'Adua |
Makamu wa Rais wa Nigeria | |
Muda wa Utawala 29 Mei 2007 – 6 Mei 2010 | |
Rais | Umaru Yar'Adua |
mtangulizi | Atiku Abubakar |
aliyemfuata | Namadi Sambo |
Gavana wa jimbo la Bayelsa | |
Muda wa Utawala 9 Desemba 2005 – 28 Mei 2007 | |
mtangulizi | Diepreye Alamieyeseigha |
aliyemfuata | Timipre Sylva |
tarehe ya kuzaliwa | 20 Novemba 1957 Ogbia, Nigeria |
chama | People's Democratic Party |
ndoa | Patience Faka Jonathan |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Port Harcourt |
Fani yake | Zoolojia |
dini | Ukristo |
Funga