From Wikipedia, the free encyclopedia
Rais wa Nigeria ni mkuu wa dola wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria na kiongozi wa serikali. Vyeo vyake ni "Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria" na Amiri Jeshi Mkuu wa jeshi la Nigeria. Rais wa sasa ni Bola Tinubu.
Kila mtu anaweza kuchaguliwa kuwa rais wa Nigeria kama
Kufuatana na katiba anaweza kuhudumia awamu mbili za miaka minne akichaguliwa tena baada ya awamu ya kwanza.
Kufuatana na katiba rais huwa na madaraka yafuatayo:
Katika orodha ifuatayo kuna majina ya watu waliokuwa wakuu wa dola nchini Nigeria tangu uhuru katika mwaka 1960:
Jina | Tarehe za uraisi | Alikotoka | ||
---|---|---|---|---|
Mwanzo | Mwisho | Namna ya kumaliza kipindi | ||
Abubakar Tafawa Balewa (Waziri Mkuu) | 1 Oktoba 1960 | 15 Januari 1966 | Alipinduliwa na jeshi | Northern People’s Congress |
Nnamdi Azikiwe | 1 Oktoba 1963 | 16 Januari 1966 | National Council of Nigeria and the Cameroons | |
Johnson Aguiyi-Ironsi | 16 Januari 1966 | 29 Julai 1966 | Alipinduliwa na jeshi | jeshini |
Yakubu Gowon | 1 Agosti 1966 | 26 Julai 1975 | Alipinduliwa na jeshi | Jeshini |
Murtala Mohammed | 29 Julai 1975 | 13 Februari 1976 | Kifo baada ya kujeruhiwa na waasi wa kijeshi | Jeshini |
Olusegun Obasanjo | 13 Februari 1976 | 1 Oktoba 1979 | Alishindwa katika uchaguzi | Jeshini |
Shehu Shagari | 1 Oktoba 1979 | 31 Desemba 1983 | Alipinduliwa na jeshi | National Party of Nigeria |
Muhammadu Buhari | 31 Desemba 1983 | 27 Agosti 1985 | Alipinduliwa na jeshi | Jeshini |
Ibrahim Babangida | 27 Agosti 1985 | 26 Agosti 1993 | alijiuzulu | Jeshini |
Ernest Shonekan | 26 Agosti 1993 | 17 Novemba 1993 | alijiuzulu | (bila chama) |
Sani Abacha | 17 Novemba 1993 | 8 Juni 1998 | Kifo | Jeshini |
Abdulsalami Abubakar | 8 Juni 1998 | 29 Mei 1999 | Alishindwa katika uchaguzi | Jeshini |
Olusegun Obasanjo | 29 Mei 1999 | 29 Mei 2007 | Alishindwa katika uchaguzi | People's Democratic Party |
Umaru Yar'Adua | 29 Mei 2007 | 5 Mei 2010 | Kifo | People's Democratic Party |
Goodluck Jonathan | 5 Mei 2010 | 29 Mei 2015 | People's Democratic Party | |
Muhammadu Buhari | 29 Mei 2015 | 29 Mei 2023 | All Progressives Congress | |
Bola Tinubu | 29 Mei 2023 | All Progressives Congress |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.