From Wikipedia, the free encyclopedia
Henderson, Nevada ni mji wa Marekani katika jimbo la Nevada, takribani maili 16 kusini-mashariki mwa Las Vegas.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2010, mji una wakazi wapatao 258,000 hivi. Ni jiji la pili kwa ukubwa huko Nevada, baada ya Las Vegas.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Henderson, Nevada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.