From Wikipedia, the free encyclopedia
Jane Seymour OBE (jina la kuzaliwa: Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg; 15 Februari 1951) ni mwigizaji wa filamu wa Uingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya James Bond - Live and Let Die na pia kucheza katika mfululizo wa kipindi cha TV cha Dr. Quinn, Medicine Woman.
Jane Seymour | |
---|---|
Jane Seymour 2019 by Glenn Francis.jpg | |
Amezaliwa | Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg 15 Februari 1951 Uingereza Hayes, London, Uingereza |
Ndoa | Michael Attenborough (1971-1973) Geoffrey Planer (1977-1978) David Flynn (1981-1992) James Keach (1993-) |
[www.janeseymour.com Tovuti rasmi] |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jane Seymour (mwigizaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.