Kananga

Kananga (awali Luluabourg au Luluaburg) ndio makao makuu ya mkoa wa Lulua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakazi ni 1,463,556.Mji uko kwenye mto Lulua, tawimto la mto Kasai. From Wikipedia, the free encyclopedia

Kanangamap