Katarzyna Kiedrzynek
From Wikipedia, the free encyclopedia
Katarzyna Kiedrzynek (alizaliwa 19 Machi 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama golikipa katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake nchini Poland. [1][2]