From Wikipedia, the free encyclopedia
Kenneth Bednarek (alizaliwa 14 Oktoba 1998) ni mwanariadha wa Marekani kutoka Rice Lake, Wisconsin.
Tarehe 4 Agosti 2021, alishinda medali ya fedha kwa mbio za mita 200 katika mchezo wa Olimpiki msimu wa joto jijini Tokyo 2020[1]. Rekodi yake bora alitumia dakika 19.68. Mnamo 2 Agosti 2021 alitumia muda wa dakika 20.01 katika mchuano robo wa mita 200 katika Olimpiki ya msimu wa joto jijini Tokyo[2]. Alifanikiwa kuingia mchuano wa mwisho kwa mda wa dakika 19.83[3] alioupata.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.