Wisconsin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wisconsin ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Madison na mji mukubwa ni Milwaukee. Jimbo lina wakazi wapatao 5,627,967 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 169,790. Mipaka asilia ni Ziwa Michigan upande wa mashariki na Ziwa Superior upande wa kazkazini. Imepakana na Michigan, Illinois, Iowa na Minnesota.

Remove ads
Miji
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wisconsin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads