Key West, Florida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Key West ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Key West | |
Mahali pa mji wa Key West katika Marekani |
|
Majiranukta: 24°33′33″N 81°47′3″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Florida |
Wilaya | Monroe |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 25,478 |
Tovuti: www.keywestcity.com |
Funga
Ni mji ya kisiwa cha Florida Keys katika Ghuba ya Meksiko.
Key West iko 207 km kusini-magharibi ya mji ya Miami. Mji upo m 1 kutoka juu ya usawa wa bahari. Idadi ya makazi ni 25,478.