![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b0/Swedish_language_map.svg/langsw-640px-Swedish_language_map.svg.png&w=640&q=50)
Kiswidi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiswidi ni lugha ya Kigermanik ambayo husemwa na zaidi ya watu milioni 10 hivi Uswidi kote na sehemu za Ufini[1].
Ukweli wa haraka svenska, Pronunciation ...
Kiswidi | ||
---|---|---|
svenska | ||
Pronunciation | [ˈsvɛ̂nskâ] | |
Inazungumzwa nchini | Uswidi, Ufini | |
Jumla ya wazungumzaji | 10,000,000 | |
Familia ya lugha | Lugha za Kihindi-Kiulaya
| |
Mfumo wa uandikaji | Alfabeti ya Kilatini | |
Hadhi rasmi | ||
Lugha rasmi nchini | Uswidi, Ufini | |
Hurekebishwa na | Svenska språkrådet (nchini Uswidi), Svenska språkbyrån (nchini Ufini) | |
Misimbo ya lugha | ||
ISO 639-1 | sv | |
ISO 639-2 | swe | |
ISO 639-3 | swe | |
![]() | ||
Note: This page may contain IPA phonetic symbols in Unicode. |
Funga