From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwango utatu ni kiwango cha maji au dutu nyingine inapoweza kutokea mahali pamoja katika hali mango, kiowevu na gesi (kwa mfano wa maji: barafu, majimaji na mvuke). Kiwango hiki kinategemea halijoto na shindikizo.
Kiwango utatu cha maji ni kiwango cha kukadiria skeli ya selsiasi au sentigredi (273.16 K au 0.01 °C).
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwango utatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.