Marsiano wa Siracusa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Marsiano wa Siracusa (Antiokia, leo nchini Uturuki; Siracusa, Sicilia, Italia) alikuwa askofu wa mji huo ambaye anahesabiwa kuwa wa kwanza[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, pengine mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Oktoba[3] au 9 Februari.