Papa Innocent VI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Innocent VI (1282 au 1295 – 12 Septemba 1362) alikuwa Papa kuanzia tarehe 18/30 Desemba 1352 hadi kifo chake[1]. Alitokea Monts, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Étienne Aubert.
Alimfuata Papa Klementi VI akafuatwa na Papa Urbano V.