Papa Klementi VI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Klementi VI (takriban 1291 – 6 Desemba 1352) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7/19 Mei 1342 hadi kifo chake[1]. Alitokea Maumont, Ufaransa[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger.
Alimfuata Papa Benedikto XII akiwa Papa wa nne aliyetawala kutoka mji wa Avignon (leo nchini Ufaransa) akafuatwa na Papa Innocent VI.