From Wikipedia, the free encyclopedia
Paulo Diakono (takriban 720 - 13 Aprili 799) alikuwa mmonaki Mbenedikto, shemasi na mwanahistoria aliyetoka kabila la Walongobardi.
Kati ya miaka 782 na 787 aliishi ikuluni mwa mfalme Karolo Mkuu.
Aliandika historia ya maaskofu wa mji wa Metz, historia ya Walangobardi, na wasifu wa Papa Gregori I.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paulo Diakono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.